SentensiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Sentensi ni kundi la maneno ambalo lina kiima na kiarifa na hutoa maana kamili; ndiyo kipashio cha juu kabisa katika tungo.
Sentensi ni kundi la maneno ambalo lina kiima na kiarifa na hutoa maana kamili; ndiyo kipashio cha juu kabisa katika tungo.