Kunguni-maji watambaazi ni wadudu wadogo wa majini wa familia Naucoridae katika oda ya chini Nepomorpha ya oda Hemiptera walio na miguu ya mbele yenye femuri pana sana. Wanafanana na kunguni-maji wakubwa lakini spishi zote ni ndogo. Kuna spishi takriban 400 katika jenasi 46. Jenasi 6 zinapatikana Afrika ya Mashariki[1].
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Kunguni-maji mtambaazi |
Ilyocoris cimicoides |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Arthropoda (Wanyama wenye mwili wa pingili na miguu ya kuunga wasio na ugwe wa mgongo kama wadudu, nge, buibui)
|
Nusufaila: |
Hexapoda (Arithropodi wenye miguu sita)
|
(bila tabaka): |
Dicondylia (Wadudu walio na mandibula zenye condyle mbili)
|
Ngeli: |
Insecta (Wadudu)
|
Nusungeli: |
Pterygota (Wadudu wenye mabawa)
|
Oda ya juu: |
Paraneoptera
|
Oda: |
Hemiptera Haeckel, 1896 |
Nusuoda: |
Heteroptera
|
Oda ya chini: |
Nepomorpha
|
Familia ya juu: |
Naucoroidea
|
Familia: |
Naucoridae Leach, 1815 |
|
Ngazi za chini |
Nusufamilia 5; jenasi 46, 6 katika Afrika ya Mashariki:
- Cheirochelinae Montandon, 1897
- Cryphocricinae Montandon, 1897
- Laccocorinae Stål, 1876
- Aneurocoris Montandon, 1897
- Ctenipocoris Montandon, 1897
- Laccocoris Stål, 1856
- Limnocorinae Stål, 1876
- Naucorinae Leach, 1815
- Macrocoris Signoret, 1861
- Naucoris Fabricius, 1775
- Neomacrocoris Montandon, 1913
|
Funga