![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/c/c0/Balaeniceps_rex.jpg/640px-Balaeniceps_rex.jpg&w=640&q=50)
Korongo-nyangumi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Korongo-nyangumi ni ndege kubwa anayefanana na korongo wa familia Ciconiidae. Jina lake linatoka kwa umbo la kichwa chake pamoja na domo lake. Kwa sababu ya mfanano ndege huyu aliainishwa zamani katika oda ya Ciconiiformes, lakini utafiti wa kijeni ulionyesha nasaba na wari na kwa hivyo anaainishwa sasa katika Pelecaniformes.
Maelezo zaidi Mwari, Uainishaji wa kisayansi ...
Mwari | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Korongo-nyangumi akitembea juu ya uoto wa maji
| ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
![]() Msambazo wa korongo-nyangumi | ||||||||||||||
Funga