Konstantin Chernenko
From Wikipedia, the free encyclopedia
Konstantin Ustinovich Chernenko (kwa Kirusi: Константин Устинович Черненко; 24 Septemba 1911 - 10 Machi 1985) alikuwa mwanasiasa wa Urusi na Katibu Mkuu wa tano wa Chama cha Kikomunisti cha Umoja wa Kisovyeti. Aliongoza Umoja huo kutoka tarehe 13 Februari 1984 hadi kifo chake.