Komárom-Esztergom
From Wikipedia, the free encyclopedia
Komárom-Esztergom ni moja ya wilaya 19 ya kujitawala ya Hungaria. Idadi ya wakazi wake ni takriban 319,000. Mji wake mkuu ni Tatabánya.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Komárom-Esztergom | |
Mahali pa Wilaya ya Komárom-Esztergom katika Hungaria | |
Nchi | Hungaria |
---|---|
Mkoa | Transdanubia ya Kati |
Mji mkuu | Tatabánya |
Eneo | |
- Jumla | 2,265 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 319,000 |
Tovuti: http://www.kemoh.hu/ |
Funga