From Wikipedia, the free encyclopedia
Kolomna (Kirusi: Kolomna) ni mji wa Urusi. Ina wakazi 148,000. Iko katika mkoa wa Moscow Oblast.
Iko katika sehemu ya kiulaya ya Urusi km 110 kusini ya Moscow kwa 55°05'N na 38°47'E pale ambako mito ya Moskva na Okra inakutana.
Mji ulianzishwa mwaka mnamo 1177.
Mji umejulikana nchini Urusi kwa sababuya kiwanda kikubwa cha injini za reli.
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kolomna kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.