Moskva (mto)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Moskva (Kirusi: Москва) ni mto wa Urusi unaopita katika mikoa ya Moscow na Smolensk na kwenye mji wa Moscow mwenyewe. Urefu wake ni kilomita 503. Unaishia katika mto Oka kwenye mji wa Kolomna. Kwa jumla ni sehemu ya beseni ya Volga.

Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.