KoldaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kolda ni mji uliopo katika nchi ya Senegal, mkoa wa Kolda. Ndio makao makuu ya mkoa huo. Mwaka 2013 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 81,098 [1]
Kolda ni mji uliopo katika nchi ya Senegal, mkoa wa Kolda. Ndio makao makuu ya mkoa huo. Mwaka 2013 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 81,098 [1]