Kiyinwum
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyinwum kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayinwum katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiyinwum, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyinwum kiko katika kundi la Kiuradhi. Wengine hukiangalia kama lahaja tu.