Kiuradhi
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiuradhi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wauradhi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiuradhi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiuradhi kiko katika kundi la Kipaman.