Kiyarluyandi
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiyarluyandi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wayarluyandi katika jimbo la Australia Kusini. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiyarluyandi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyarluyandi kiko katika kundi la Kikarniki. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kingamini.