From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwarrgamay kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawarrgamay katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwarrgamay, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwarrgamay kiko katika kundi la Kidyirbaliki, yaani imahusiana na Kidyirbal.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiwarrgamay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.