From Wikipedia, the free encyclopedia
Lugha za Kipama-Nyungan ni familia ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha takriban 300, yaani ni familia kubwa kabisa barani mwa Australia. Hata hivyo, lugha nyingi za Kipama-Nyungan zimeshatoweka au zimekaribia kutoweka hivi karibuni.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kipama-Nyungan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.