Kiwaray
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwaray kilikuwa lugha ya Kigunwingguan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawaray katika jimbo la Northern Territory. Isichanganywe na Kiwaray-Waray wa Ufilipino. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kiwaray, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaray kiko katika kundi lake lenyewe la Kiwaray.