From Wikipedia, the free encyclopedia
Lugha za Kigunwinyguan (au Kigunwingguan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya kumi ambazo huzungumzwa upande wa kaskazini ya jimbo la Northern Territory.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kigunwinyguan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.