Kiwangganguru
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiwangganguru kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wawangganguru katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kiwangganguru ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwangganguru kiko katika kundi la Kikarniki. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kiarabana.