Kiswati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiswati (pia Kiswazi) ni lugha ya Kibantu nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Waswati. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kiswati nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu 1,010,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiswati iko katika kundi la S40.