Kisiwa cha Kati (Turkana)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kisiwa cha Kati (Turkana) ni kisiwa cha Kenya kilichotokana na volikano, mita 550 juu ya usawa wa bahari.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/4a/Flamingo_Lake_01.jpg/640px-Flamingo_Lake_01.jpg)
Kinapatikana katika ziwa Turkana, kaunti ya Turkana.
Ni hifadhi ya taifa ya Kenya inayotambulikana na UNESCO kama mahali pa Urithi wa Dunia.