![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f7/KhoisanLanguagesDifferentiated.png/640px-KhoisanLanguagesDifferentiated.png&w=640&q=50)
Kisandawe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kisandawe ni lugha inayozungumzwa na Wasandawe wanaoishi katika Mkoa wa Dodoma, nchini Tanzania, na ambao idadi yao ni kama 60,000. Ilifikiriwa kuwa mojawapo kati ya lugha za Khoisan, lakini kwa sasa inahesabika lugha ya pekee ingawa inaweza kuhusiana na lugha za Kikhoe–Kwadi za Kusini mwa Afrika.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/f/f7/KhoisanLanguagesDifferentiated.png/320px-KhoisanLanguagesDifferentiated.png)