Kipunjabi cha Mashariki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kipunjabi ya Mashariki ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapunjabi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kipunjabi ya Mashariki imehesabiwa kuwa watu 28,200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipunjabi ya Mashariki iko katika kundi la Kiaryan.