lugha ya asili ya Australia iliyotoweka From Wikipedia, the free encyclopedia
Kipitta-Pitta kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapitta-Pitta katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kipitta-Pitta ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipitta-Pitta kiko katika kundi la Kikarniki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipitta-Pitta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.