Kipahari-Potwari
Kipahari-Kipotwari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wapahari / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kipahari-Kipotwari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan na Uhindi inayozungumzwa na Wapahari. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kipahari-Kipotwari nchini Pakistan imehesabiwa kuwa watu milioni mbili na nusu. ia kuna wasemaji 1,020,000 nchini Uhindi (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipahari-Kipotwari iko katika kundi la Kiaryan.