Kipaakantyi
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kipaakantyi (au Kibaagandji; pia Kidarling) ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wapaakantyi katika jimbo la New South Wales. Katika sensa ya mwaka 2006, idadi ya wasemaji wa Kipaakantyi ilihesabiwa kuwa watu 24 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaakantyi kiko katika kundi la Kibaagandji.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipaakantyi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.