From Wikipedia, the free encyclopedia
Kinyemba ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Wanyemba. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kinyemba nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 222,000. Pia kuna wasemaji wa Kinyemba nchi za Namibia na Zambia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyemba iko katika kundi la K20.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyemba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.