KinkalaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Kinkala ni mji uliopo katika Jamhuri ya Kongo, mkoa wa Pool. Mwaka 2007 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 8,600 [1].
Kinkala ni mji uliopo katika Jamhuri ya Kongo, mkoa wa Pool. Mwaka 2007 idadi ya watu ilikadiriwa kuwa 8,600 [1].