Kimundang
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimundang ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad na Kamerun inayozungumzwa na Wamundang. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimundang nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 191,000; mwaka wa 1982 nchini Kamerun kumehesabiwa wasemaji 44,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimundang iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.