From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimanda ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamanda. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimanda imehesabiwa kuwa watu 22,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimanda iko katika kundi la N10.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimanda (Tanzania) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.