![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/07/Kim_Little_20191016.jpg/640px-Kim_Little_20191016.jpg&w=640&q=50)
Kim Little
Mwanasoka wa Uskoti / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kim Alison Little (alizaliwa 29 Juni 1990)[1][2] ni mwanasoka wa Uskoti ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya mpira wa miguu ya Arsenal na nahodha katika Ligi ya Uingereza FA WSL. Kabla ya kustaafu kuichezea timu ya taifa mnamo 2021, Little alikuwa makamu wa nahodha wa timu ya taifa ya Scotland.[3]
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/0/07/Kim_Little_20191016.jpg/320px-Kim_Little_20191016.jpg)