From Wikipedia, the free encyclopedia
Kileningitij (au Kilinngithigh) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Waleningitij katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kileningitij, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kileningitij kiko katika kundi la Kipama Kaskazini.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kileningitij kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.