Kikurdi
From Wikipedia, the free encyclopedia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikurdi (kwa lugha hiyo: کوردی, Kurdî, tamka: [ˈkuɾdiː]) ni kundi la lahaja za Kiajemi zinazotumika na Wakurdi wengi (milioni 20-30 hivi) huko Mashariki ya Kati.
Ni lugha rasmi mojawapo katika nchi ya Iraq, lakini katika nchi nyingine, hasa Syria, hairuhusiwi au inazuiwa katika matumizi kadhaa.
Kurdish travel guide kutoka Wikisafiri
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikurdi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.