Kikitja
lugha ya asili ya Australia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kikitja (au Kikija) ni lugha ya Kijarrakan nchini Australia inayozungumzwa na Wakitja katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikitja 210, na lugha imo hatarini mwa kutoweka.