Kihindko cha Kusini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kihindko cha Kusini ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wahindko. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihindko cha Kusini kiko katika kundi la Kiaryan.
Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kihindko cha Kusini imehesabiwa kuwa watu 625,000.