From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigugu-Badhun kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagugu-Badhun katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigugu-Badhun ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigugu-Badhun kiko katika kundi la Kimariki.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigugu-Badhun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.