Kigabri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigabri ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wagabri. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigabri imehesabiwa kuwa watu 34,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigabri iko katika kundi la Kichadiki.