Kigabi-Gabi
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka / From Wikipedia, the free encyclopedia
Kigabi-Gabi (pia Kigubbi-Gubbi) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagabi-Gabi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kigabi-Gabi, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigabi-Gabi kiko katika kundi la Kiwaka-Kabiki. Wengine huiangalia kama lahaja ya Kibatyala.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/6/6a/Map_of_Traditional_Lands_of_Australian_Aboriginal_peoples_in_SE_Qld.png/220px-Map_of_Traditional_Lands_of_Australian_Aboriginal_peoples_in_SE_Qld.png)