From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiembu ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Waembu. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiembu imehesabiwa kuwa watu 429,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiembu iko katika kundi la E50.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiembu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.