Kidayi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidayi ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadayi katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidayi 170, na lugha imo hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidayi kiko katika kundi la Kidhuwal.