Kidhuwal
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kidhuwal ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadhuwal katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2015, kulikuwa na wasemaji wa Kidhuwal 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidhuwal kiko katika kundi la Kiyolngu.