![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/44/Bunaban_languages.png/640px-Bunaban_languages.png&w=640&q=50)
Kibunaba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibunaba (au Kibunuba) ni lugha ya asili nchini Australia inayozungumzwa na Wabunaba katika jimbo la Australia ya Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kibunaba 110 tu, wote wazee, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibunaba inahusiana na lugha Kigooniyandi tu, yaani hizo mbili ziko katika familia ya lugha peke yake.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/4/44/Bunaban_languages.png/640px-Bunaban_languages.png)