![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/3a/Barranbinja_language.png/640px-Barranbinja_language.png&w=640&q=50)
Kibarranbinja
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kibarranbinja (au Kibarranbinya) ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabarranbinja katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kibarranbinja ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibarranbinja kiko katika kundi pamoja na Kimuruwari.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/3a/Barranbinja_language.png/640px-Barranbinja_language.png)