![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/ab/Muruwari_language.png/640px-Muruwari_language.png&w=640&q=50)
Kimuruwari
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kimuruwari ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamuruwari mpakani katikati majimbo ya Queensland na New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimuruwari ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimuruwari kiko katika kundi lake lenyewe la Kimuruwari.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/a/ab/Muruwari_language.png/640px-Muruwari_language.png)