Kiachang
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kiachang ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uchina inayozungumzwa na Waachang. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiachang nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu 27,700. Pia kuna wasemaji 35,000 nchini Myanmar (2007). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiachang iko katika kundi la Kiburmiki.