Kharkiv
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kharkiv (jina la Kiukraine; kwa Kirusi: Ха́рьков, Kharkov) ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine. Iko kaskazini mwa Ukraine. Ni mji wa elimu, taasisi za kisayansi, viwanda vingi na kitovu cha njia za usafiri.
Mji ulianzishwa mwaka 1655. Idadi ya wakazi ilikuwa 1,449,000 mwaka 2010.