![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d5/Kenya_Wildlife_Service_Mountain_Climbing_Route_-_Park_gate.jpg/640px-Kenya_Wildlife_Service_Mountain_Climbing_Route_-_Park_gate.jpg&w=640&q=50)
Shirika la Huduma kwa Wanyama Pori ya Kenya
shirika la serikali chini ya Wizara ya Utalii na Wanyamapori iliyoanzishwa na kitendo cha Bunge; Sheria ya Uhifadhi na Usimamizi wa Wanyamapori ya mwaka 2013 / From Wikipedia, the free encyclopedia
Shirika la Kenya la Wanyama Pori (KWS - Kenya Wildlife Service) lilianzishwa mwaka 1990. Inasimamia uasilia na viumbe hai wa nchi, ikilinda na kuhifadhi flora na fauna.
![Huduma ya Wanyamapori Kenya,njia ya Kupanda Mlima - lango la Hifadhi](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/d/d5/Kenya_Wildlife_Service_Mountain_Climbing_Route_-_Park_gate.jpg/640px-Kenya_Wildlife_Service_Mountain_Climbing_Route_-_Park_gate.jpg)
KWS inasimamia mbuga za wanyama za kitaifa na hifadhi nchini Kenya. Fedha zinazokusanywa kama ada ya kiingilio hutumika kusaidia uhifadhi wa mimea na wanyama ndani ya hifadhi au mbuga.