![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/e/ee/Kelela_Piknik_i_Parken_2018_%2528205003%2529.jpg/640px-Kelela_Piknik_i_Parken_2018_%2528205003%2529.jpg&w=640&q=50)
Kelela Mizanekristos
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kelela Mizanekristos (amezaliwa 3 Juni, 1983) ni mwimbaji na mwandishi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Kwa mara ya kwanza katika sekta ya muziki alizindua kanda yake ya muziki mwaka 2013 inayojulikana kama cut 4 Me. Mnamo 2015, alizindua Hallucinogen pamoja na EP. Albamu yake ya kwanza iliyoitwa Take Me Apart, ilitolewa mwaka 2017 ikiwa na sifa kubwa.[1]
Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Amezaliwa ...
Kelela Mizanekristos | |
---|---|
![]() Kelela Mwaka 2018 | |
Maelezo ya awali | |
Amezaliwa | 3 Juni 1983 (1983-06-03) (umri 40) Washington, D.C., |
Kazi yake | Mwimbaji Mwandishi |
Miaka ya kazi | 2011 - hadi leo |
Tovuti | Kelela.com |
Funga