![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/2a/Kazu_Miura_at_Matsuda_tribute_match_20120122.jpg/640px-Kazu_Miura_at_Matsuda_tribute_match_20120122.jpg&w=640&q=50)
Kazuyoshi Miura
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kazuyoshi Miura (三浦 知良; alizaliwa 26 Februari 1967) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Japani. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Japani.
![Thumb image](http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/2/2a/Kazu_Miura_at_Matsuda_tribute_match_20120122.jpg/640px-Kazu_Miura_at_Matsuda_tribute_match_20120122.jpg)
Miura alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Japani tarehe 26 Septemba 1990 dhidi ya Bangladesh. Miura alicheza Japani katika mechi 89, akifunga mabao 55.[1][2]