Kayseri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kayseri ni mji uliopo katikati ya nchi ya Uturuki. Mji huu wa Kayseri umezoeleka kuitwa Mazaka au Kaisareia. Huu ni mji mkuu wa Mkoa wa Kayseri. Mji unakadiriwa kuwa na lundiko la watu takriban milioni 1. Mji upo mita 1,050 kutoka juu ya usawa wa bahari.