From Wikipedia, the free encyclopedia
Kars (kutoka Kiarmenia: Ղարս "Ghars" au Կարս "Kars", Kituruki cha Azerbaijani: Qars) ni mji uliopo kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kars.
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, idadi ya wakazi imefikia kiasi cha 130,361.
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kars kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.