Karoli BorromeoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Karoli Borromeo (2 Oktoba 1538 – 3 Novemba 1584) alikuwa kardinali na askofu wa Milano nchini Italia. Karoli Borromeo Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 4 Novemba[1].
Karoli Borromeo (2 Oktoba 1538 – 3 Novemba 1584) alikuwa kardinali na askofu wa Milano nchini Italia. Karoli Borromeo Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 4 Novemba[1].