Kapasita

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kapasita

Kapasita (kutoka Kiingereza: "capacitor") ni kifaa kinachotumika kutunza chaji ya umeme kwa muda mrefu kuliko betri.

Thumb
Kapasita mbalimbali zilivyo.
Thumb
Alama wakilishi za aina tatu za kapasita.

Ilibuniwa na Mjerumani Ewald Georg von Kleist mnamo Oktoba 1745[1].

Tanbihi

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.